Burudani

Shilole awachana wanaodai mpenzi wake ni mdogo kwake, ‘mnakuwepo chumbani kuona udogo wake?’

Shilole yuko ‘crazy In love’ ndio sababu haoni shida kulilinda na kulitetea penzi lake na boyfriend wake msanii Nuh Mziwanda, licha ya kushambuliwa mara kwa mara na mashabiki kupitia mitandao ya kijamii kuwa amempita umri.

shishi na nuh

Shishi Bybee ambaye weekend iliyopita alizindua video ya wimbo wake ‘Namchukua’ aliyofanya Kenya, ameamua kuwapa makavu live wote wanaomsema mpenzi wake Nuh kuwa ni mdogo kwake, hiki ndicho alichowajibu kupitia Instagram.

shi n nuh2

“Huyo nuh mnaosema ni mdogo kwangu! Kwani hajawaona wadogo wenzie mpka kanipenda mm?? Mtt mdogo angekuwa analilia mapenz ! Siangekuwa analilia ziwa kwa mama yake ! But ni mkubwa ndo maana kajua utam wa mwanamke ndo maana kaniganda! Wenywe tumeridhiana! Wivu tu unawasumbua nikiwa na mtu mzima mtasema lol shilole bwanaake babu nikiwa na kijiana mwenzangu oooh kitoto kidogo mnikome! Mnakuepogi chumban muona udogo aek”

shi
shi2

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents