Burudani

Shilole ashambuliwa kwa kuandika Kiingereza ‘mbofumbofu’ kwenye Instagram, wengi wamtetea

Wazungu wanasema ‘Practice makes perfect’ na kama unataka kuongeza Kiingereza vizuri, ni lazima ukiongee ama ukiandike sio? Na pia ‘tunajifunza kupitia makosa’.

1171218_227022840792245_676988987_n

So huenda mrembo Shilole, yupo kwenye mkakati wa kujiendeleza zaidi katika lugha hiyo na ndio maana jana aliamua kukiweka kando Kiswahili kwa muda na kutumia lugha hiyo iliyokuwa Afrika kwa meli enzi za ukoloni.

“I did ever think I would do a nice video like this thank you alot to my director @nisherbybee,” aliandika hitmaker huyo wa ‘Nakomaa na Jiji’.

Hata hivyo, lugha ikagongana kidogo na kama ujuavyo ‘Wabongo’ wakaanza, kumcheka, kumdhihaki na kumshambulia huku wengine wakimkingia kifua.

Lisammbando: Speaking English is not a joke Hahahahah

Clararobinso: Me cjaelewa hiyo lugha mpz, kwan ulitaka kuandika nn hapo?

Pinnadelicious: Jmn mbona mnapenda kumcritisize hvo mwenzenu sa amekosea nn nyie mnaojua, duh dis is too much

Teddybebe: Jaman all in all si mmemuelewa.hata mbuyu ulianza kama mchicha kila kitu kinaitaji mazoezi na usione aibu hata wakikucheka mpenz jitahid tu utaelewa. Kumbukeni hata nyie mlitoka huko hata kama mlisoma za kishuaa. Vizur kumsahihisha na sio kumbeza

m_bongo: her message sent, delivered, read and understood hicks. By the way english isn’t her first language
tutupahamidu: Did or didnt?!!thank you or thanks to my director?!

Eshyleta: bora washushuliwe tu, coz baadae wanaleta nyodo za kiswanglish, et kiswahili hawezi baadhi ya maneno, km huwezi kithungu tumia lugha yako ya taifa

clarahcut3: Nawashangaa wabongo badala mtu akikosea kiswahli ndo achekwe maana ni lugha yetu wanamcheka aliekosea lugha ambayo haijui, achen hizo motherfu**rz, if u hate her that much kiss ur asses, mxuuuuuuuuuuuuuuu uxiogope kujifuza shishi utaweza 2 mpenz.

Makavlive: @shilolekiuno mwisho wa ujuaji ni aibu…ona sasa, ungeandika kiswahili isingekua shida, kutaka ung’eng’ee shule yenye hujaenda…acha kuiga paka la baa wee ongea kinyamwezi unachokijua!

auma_bebe: we al knw dat english iz not our mothertongue n tz nxma mnaijua histry yke shilole ss y mnamponda hvyo bdala hta ya kumrekebisha? sio fair bna.
.
asierlee: Sio sifa ila anajiamini ndio maana kaandika cz hta mbuyu ulianza kma mchicha hakuna aliyezaliwa anajua bhna, shilole ameandika kile akiwezacho kwa uwezo wake so am proud of her kwa kuwa hajaogopa ila amethubutu, hta kma broken ndo kujifunza

binti_gloria: Chezyaa collabo na J’lo…bora mwaya uanze rehearsal ya ngeli mapemaaa!! Ila mjini shidaaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents