Burudani

Shetta kuzindua na Dar Stamina

Amini_na

Katika tamasha linalofanyika siku ya Jumapili pale Bilicanas, mwanamuziki Amini Mwinyimku ambaye atakuwa kwenye mwaliko wa stesheni ya ABC ya Afrika Kusini inayomilikiwa na Wamarekani katika mahojiano ya kipindi cha Good Morning.

 

Anasema baada ya kurudi huko, atajipanga kwaajiri ya kufanya ‘show’ pamoja na Linah ilikuleta hamasha zaidi kwa mashabiki wake, ambao watamkosa siku ya jumapili hii.

Lakini katika tamasha hilo, atakuwepo Shetta na kundi zima la Dar Stamina.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents