Siasa

Sherehe za kuapishwa kwa Rais Barack Obama katika picha

Barack+Obama+President+Obama+First+Lady+Attend+-VEGjd-Pzazl

Jana rais Barack Obama ameapishwa (mbele ya umma) kwa awamu ya pili ya urais wa Marekani katika sherehe zilizofanyika jijini Washington DC. Beyonce ambaye ni rafiki wa karibu wa familia hiyo ya rais aliimba wimbo wa taifa na baadaye Obama na mke wake Michelle walijumuika kwenye ‘dance’ ya pamoja mbele ya mamilioni ya watu waliokuwa wakishuhudia sherehe hizo na kuwa kivutio kikubwa. Hizi ni baadhi ya picha za sherehe hizo.

Barack+Obama+President+Obama+First+Lady+Attend+dL7yRx2gm5Dl

Barack+Obama+President+Obama+First+Lady+Attend+QmRKcDeaHeEl

Obama na mkewe wakicheza muziki
Obama na mkewe wakicheza muziki

Barack+Obama+Sasha+Obama+Inaugural+Parade+69FVn5argzLl

Barack+Obama+Sasha+Obama+Inaugural+Parade+nZqgCYYWapql

Sasha na Malia Obama
Sasha na Malia Obama
Michelle na Beyonce wakisalimiana
Michelle na Beyonce wakisalimiana

Barack+Obama+Sworn+President+Second+Term+CzWmbCQ9Vwil

Barack+Obama+Sworn+President+Second+Term+K6SYcqHbS8ol

Barack+Obama+Sworn+President+Second+Term+SQEMchj7wByl

Beyonce akiimba wimbo wa taifa
Beyonce akiimba wimbo wa taifa

slide_275965_2007069_free

slide_275965_2007072_free

Beyonce na mumewe wakiwasili
Beyonce na mumewe wakiwasili
Beyonce na Jay-Z wakisalimiana na wageni wengine waalikwa
Beyonce na Jay-Z wakisalimiana na wageni wengine waalikwa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents