Habari

Photos: Mazishi ya Sharomilionea nyumbani kwao Tanga

Wananchi waliojitokeza wakishuhudia mazishi ya Sharomilionea.
Marehemu Msanii Husseini Ramadhani ambaye anajulikana zaidi kama Sharomilionea amezikwa leo mchana majira ya saa saba kijijini kwao Lusanga, Handeni katika wilaya ya Muheza mkoani Tanga.
Mamia ya watu walijazana katika eneo la nyumbani kwao wakiongozwa na ndugu jamaa, marafiki, wasanii wa fani mbali mbali na viongozi wa chama na serikali waliowasili eneo hilo tangu jana asubuhi.
Bongo5.com ilikuwepo katika eneo la tukio na sasa inakupa fursa ya kuangalia picha ya kilichojiri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents