Burudani

Shamsa Ford amtaja msanii wa filamu Bongo anayemkubali

Shamsa Ford amemtaja msanii wa kiume ambaye anamkubali zaidi anapokuwa anaigiza naye.

Mrembo huyo wa filamu hapa nchini amemtaja Gabo Zigamba kuwa ndio msanii pekee wa kiume ambaye wanapokuwa wanaigiza huwa anahisi ni kweli na siyo filamu wanacheza. Kupitia mtandao wa Instagram Shamsa amethibitisha hilo kwa kuandika:

kiukweli ni mwanaume pekee ambae nikiigiza naye huwa nasahau kama nina Igiza na kuhisi ni kweli..namkubali sana huyu mmakonde wangu…@gabozigamba1 @gabozigamba1 ..On SET

Wawili hao wameigiza kwenye filamu ya pamoja ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni. Hizi ni baadhi ya picha kwenye filamu hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents