Burudani

Shakira na Gerard Piqué wanatarajia kupata mtoto wa pili

Shakira ni mjamzito wa mtoto wake wa pili.

Shakira+and+Gerald+in+israel+YlAm80rUcJEl

Muimbaji huyo mwenye miaka 37 na mume wake Gerard Piqué mchezaji wa Barcelona, tayari wana mtoto wa miezi 19 aitwaye Milan na wanadaiwa kuwa na furaha kubwa kupata mtoto mwingine anayetarajiwa kuzaliwa baadaye mwaka huu.

Shakira cheers on husband Gerard Pique alongside baby Milan **USA ONLY**

Muimbaji wa Columbia, Carlos Vives, ambaye ni rafiki wa karibu wa Shakira, ameiambia Fox News Latino: “Yes, she is pregnant and she’s very happy.”

Hata hivyo Shakira na Pique bado hawajatangaza habari hiyo njema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents