Burudani

Shakira na boyfriend wake Gerard Piqué wanatarajia kupata mtoto wa pili

Mwimbaji Shakira na boyfriend wake mcheza mpira Gerard Piqué wanatarajia kupata mtoto wa pili. Mwimbaji huyo wa Colombia amethibitisha habari hizo kupitia jarida la ‘Cosmopolitan Magazine’ Spanish version.

shakira

Ni karibia miaka miwili sasa toka Shakira na Piqué wapate mtoto wa kwanza aitwaye Milan, aliyezaliwa January 22, 2013.

Shakira-Gerard-Pique-Milan

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents