Burudani

Shakira ajifungua mtoto wa pili wa kiume, Sasha

Mwimbaji wa Colombia, Shakira (37) amejifungua mtoto wake wa pili wa kiume siku ya Alhamisi usiku huko Barcelona.

shakira

Hit maker wa ‘Waka Waka’ pamoja na mzazi mwenzake mcheza mpira Gerard Piqué wamempatia jina la Sasha.

shakira-2
Shakira, Grerald na mtoto wao wa kwanza Milan

Kwa mujibu wa Daily Mail, Shakira na boyfriend wake walichukua floor nzima ya hospitali ya Quirón Teknon, huko Barcelona kwaajili ya kujifungua. Mtoto huyo alizaliwa mikononi mwa daktari yule yule aliyemzalisha mtoto wao wa kwanza mwenye miaka miwili sasa Milan.

Shakira na Gerard Piqué walianza uhusiano mwaka 2010.

Related Articles

2 Comments

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents