Burudani

Shaa: Master J ni mpishi mzuri wa chakula kunizidi mimi (Video)

Kwa mujibu wa Shaa, Master J ni mpishi mzuri wa chakula kumzidi yeye.

Shaa Master J & Madam Rita
Master J, Shaa na Madam Rita

Akiongea leo kwenye kipindi cha Coke Studio Afrika kutoka Nairobi, Shaa amesema mpenzi wake huyo si mnyama kwenye upishi wa ngoma studio pekee, bali pia katika kurekebisha msosi jikoni. Alikuwa akijibu swali la producer wa Kenya, Kagwe aliyetaka kufahamu kama humpigia mpenzi wake.

“By the way you will be surprised,” amesema Shaa. “Because my better half is a better cook than me. He is really a better cook. I am the type of a girl who can boil an egg well, I can make it look pretty, I can set up a table, I can clean the dishes, I can clean the clothes, I can iron whatever but the kitchen yeah he’s got better…. (anacheka na kufanya asisikike alichotaka kusema).

Tazama mahojiano hayo chini yaliyomhusisha pia muimbaji wa zamani wa kundi la Blue 3, Jackie Chandiru.

https://www.youtube.com/watch?v=7eAT_2vGgl4

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents