Burudani

Sextape ya Iggy Azalea na ex wake inaweza kuuza kuliko ya Kim K na Ray J

Mmiliki wa mtandao wa ngono wa Vivid, Steve Hirsh amesema mkanda wa ngono wa rapper Iggy Azalea unaweza ukauza kuliko ule wa Kim Kardashian na Ray J.

iggy-azalea-01-2014-billboard-650

Rapper wa Houston, Jefe Wine ndiye anayedaiwa kurekodi mkanda huo akifanya mapenzi na Iggy. Wine anadai kuwa Iggy alikuwa akijua kuwa wanarekodi mkanda huo licha ya yeye kudai hakuwa na taarifa.

Hirsh, amesema ameshakutana na Wine kufanya makubaliano ya kuununua. Wanasheria wa Iggy Azalea wamesema wamejiandaa kuchukua hatua za kisheria kutokana na mkanda huo.

Kama ni kweli Iggy yupo kwenye tape hiyo haiwezi kutolewa kihalali bila ridhaa yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents