Diamond PlatnumzWema Sepetu

Selfie ya Wema na Diamond kwenye Instagram yavutia comments zaidi ya 1,000, %95 ni za matusi!!

Jumatano hii, Wema Sepetu amepost picha mpya ya selfie akiwa na mpenzi wake wa on and off, Diamond Platnumz na kuandika ujumbe mfupi tu: wema sepetu na ndugu yake @romyjons. Romy ni binamu yake Diamond. Picha hiyo imevutia zaidi ya comments 1,000 lakini nyingi zikiwa za mashabiki wanaotukanana wao kwa wao.

wema na diamond

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents