Habari

Secret Service matatani kwa kupiga selfie na mjukuu wa Trump

Mjukuu wa Rais Donald Trump amedaiwa kupigwa picha wakati amelala na askari wa Secret Service waliokuwa wamepewa kazi ya kumlinda.

Askari hao walidaiwa kuendesha gari wakiwa na mtoto huyo, Donald Trump Jr. mwenye miaka 8 tukio hilo lilipotokea. Donald III alikuwa amelala kwenye gari hilo na askari hao walidaiwa kujipiga selfie na mtoto huyo.

Kwa mujibu wa Mother Jones walioandika habari hiyo kwa mara ya kwanza, Don III aliamka akiwa amekasirika na baadaye kuwaambia wazazi wake. DT Jr. aliripoti jambo hilo kwa Secret Service walioanzisha uchunguzi.

Msemaji wa Secret Service amesema:

The US Secret Service is aware of a matter involving two of our agents and one of our protectees. Our Office of Professional Responsibility will always thoroughly review a matter to determine the facts and to ensure proper, long-standing protocols and procedures are followed

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents