Burudani

Sean Paul ajibu kuhusu tukio la kuibiwa simu lililotolea Kenya miaka 11 iliyopita jana

Katika hali ya kufurahisha au kushangaza, jana, April 1, staa wa dancehall kutoka nchini Jamaica, Sean Paul amejibu tetesi zilizowahi kuandikwa miaka 11 iliyopita kuhusu kuibiwa simu yake alipokuwa ziarani nchini Kenya.

Seanpaul20130711C

Sean Paul amepost picha ya habari iliyoandikwa kwenye blog moja ya nchini Kenya na kukanusha kilichoandikwa.

11085023_353868654816720_1089512658_n

“RRR!!! HABARI YENU!!! JUS WANT 2LET MY KENYAN PEEPS KNO THAT THIS HEADLINE IS TOTALLY FALSE!!! I WAS NEVER “ROBED” IN KENYA!!! I ACTUALLY LEFT MY PHONE SOME WHER WHILE I WAS THER!!! SO REALLY IT WAS ME WHO “LOST”IT!!! AN THIS WAS A VERRY LOOOOONGTIME AGO!!! DONT LISTEN 2 RUMERS AN RUBISH,” aliandika.

“4 ANY REAL NEWS BOUT ME FOLLOW ALLSEANPAUL.COM OR ASK ME RIGHT HERE ON IG AN TWITTER!!! GOIN 2 POST THE LINK 2 THIS VERRY UNTRUE STORY ABOUT ME IN KENYA ON MY TWITTER NOW!!! CHECK IT OUT BUT DOE BELIVE THE LIES!!! BLESSINGS!!! RRR!!!.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents