Michezo

Schweinsteiger: Sito endelea kucheza tena soka Ulaya, Man United ndio klabu yangu ya mwisho

Kiungo wa Manchester United, Mjerumani Bastian Schweinsteiger, ambaye ameonekana kukosa nafasi kwa kocha Jose Mourinho, amesema hafikirii kujiunga na timu nyingine ya barani Ulaya, na badala yake ataenda kucheza soka katika Ligi ya Marekani au Asia.

Bastian Schweinsteiger (5)

Schweinsteiger alitumia account yake ya instagram kutoa taarifa kwamba Manchester United ndio itakuwa klabu yake ya mwisho kuitumikia barani ulaya, akisisitiza United ndio klabu pekee ambayo ingeweza kumuondoa Allianz Arena. Hivyo kwa sasa ataendelea kubaki Manchester na kocha atakapomhitaji basi ataenda kuitumikia klabu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents