Burudani

Sauti Sol na Yamoto Band kufanya show pamoja Dar, August 30

Kundi la wanaume tupu la nchini Kenya, Sauti Sol na kundi la wanaume tupu linalofanya vizuri kwa sasa nchini, Yamoto Band, yatakutana kwenye show kali ya pamoja itakayofanyika jijini Dar es Salaam, August 30.

IMG-20140815-WA0005

Show hiyo itafanyika kwenye ukumbi wa Escape 1 ambapo makundi hayo yatasindikizwa na Skylight Band na Mirror.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents