Burudani
Sauti Sol na Mi Casa waja na project ya pamoja
Makundi maarufu ya muziki barani Afrika, Sauti Sol la nchini Kenya na Mi Casa Music la Afrika Kusini, yameingia studio kurekodi wimbo wa pamoja.
Sauti Sol na Mi Casa wakiwa studio
Wasanii hao wamepost picha wakiwa studio pamoja kurekodi wimbo huo.