Michezo

Sammy Lee achukua maamuzi haya kama kocha msaidizi wa England

Alikuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Uengereza Sammy Lee amemua kuachia wadhfa wake huo kama kocha msaidizi wa timu hiyo.

sammy-lee-and-martyn-margetson-to-work-under-england-caretaker-gareth-southgate-image

Lee ambaye kwasasa ana umri wa miaka 57, aliteuliwa kama msaidizi wa Sam Allardyce mwezi Julai na kuendelea na jukumu hilo baada ya Allardyce kujiuzulu.

mar06_sam-allardyce-and-sammy-lee

Aliendelea kuwa kocha msaidizi wakati Gareth Southgate alipokuwa akihudumu kama kaimu meneja wa England.

skysports-football-st-georges-park-gareth-southgate-sammy-lee-england_3800877

baada ya Southgate kusaini mkataba wa miaka minne na shirikisho la soka nchini Uingereza FA tarehe 30 Novemba na kuamua kumuacha nje Lee.

”Nilihisi kuna umuhimu kwa kuleta kikosi changu mwenyewe na Sammy aliheshimu uamuzi huo,”Southgate alisema.

Lee aliwahi pia kuwa katika benchi la ufundi la timu hiyo wakatai wa kocha Sven-Goran Eriksson mwaka wa 2005.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents