Burudani

Samidris? Idris na Samantha wazidi kuwa karibu (Hotshots)

Baada ya Oneza (O’neal na Feza Kessy), tujiandae kuwa na Samidris (Samantha na Idris)?

Screen Shot 2014-10-31 at 11.55.30 AM_med

Wawili hao wametokea kuwa karibu na damu zao zinapatana zaidi. Wiki hii Idris alikaa na mrembo huyo kumweleza kushindwa kwa uhusiano wake na Goitse.

Samantha alimuelezea Mtanzania huyo kuwa hakuwahi kumuomba ushauri kuhusiana na kumtaka Goitse, na kwamba ameanza kumsikiliza hivi karibuni tu. Kutokana na Idris kupoteza kwa hamu na Goitse na kuvutiwa zaidi na Samantha, ni rahisi kuelewa kwanini wamekuwa karibu kiasi hicho.

Wawili hao walikuwa wameunganisha mapaja, huku Idris akiwa amezungusha mkono kwenye kiuno chake na kutomwacha aende mbali. Mashabiki nao wanapenda kuwaona hivyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents