Bongo MovieUmbea

Rumor: Jini Kabula atarajia mtoto wa Bushoke


Hivi karibuni nyota wa zamani wa tamthilia ya Jumba la Dhahabu, Miriam Jolwa maarufu kama Jini Kabula akiwa na warembo wawili Rashida Wanjara na Bella waliunda kundi la muziki liitwalo Scorpion Girls ambalo tayari limetoa wimbo.
Wengi walijiuliza tangu lini Jini Kabula na warembo hao wengine wameanza kuimba? Lakini kwa upande wa Miriam sababu muhimu imejulikana. Inasemekana kuwa yeye (Jini Kabula) na Bushoke ni item. Huenda hapa na pale Bushoke alikuwa akimtrain mpenzi wake mambo kadhaa ya uimbaji.
Na to make it a ‘jaw dropping revelation’ rumor has it eti tayari Kabula ameshaanza kuomba ndimu na vitu vichachu as she is expecting Bushoke’s little rascal!
Inadaiwa kuwa Bushoke ambaye kwa sasa yupo nchini Afrika Kusini anamtaka Miriam aende huko ili wailee mimba pamoja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents