Michezo

Rooney achaguliwa kuwa nahodha mpya wa England

Kocha wa England, Roy Hodgson amemteua mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney kuwa nahodha mpya wa timu hiyo ya taifa.
wayne-rooney-international-career-for-England

Rooney mwenye miaka 28 ambae pia ni nahodha ya timu ya Manchester United, amechukua mikoba iliyoachwa na kiungo wa Liverpool, Steven Gerrard aliyestaafu.

Rooney aliwahi kuvaa kitambaa cha unahodha akiiongoza England kwenye mechi ya kufuzu kucheza Kombe la Dunia dhidi ya San Marino, Oktoba 2012.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents