Burudani

Roma: Siwezi kufanya collabo na huyu jamaa (Nay wa Mitego)

Ni utani tu ama kweli amemaanisha? Roma amedai kuwa hawezi kufanya collabo na Nay wa Mitego.

Roma na Nay wa Mitego

Drama ilianza baada ya kuweka picha kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa na Nay wa Mitego na kuandika: #Ninja n #EmmanuellyElibarik cc @naytrueboy #WeAllBrotherz Add a cap…..”

Kwa maelezo hayo ilionekana ni picha ya kawaida na kuwa jamaa hao wanaiva pamoja na Nay kumchana kwenye ngoma yake ‘Mr Nay’. Hata hivyo mambo yaligeuka baada ya Daudi wa Kota kumuuliza Roma: Collaboration lini?

Roma alijibu,” Mimi siwezi fanya kollabo na huyu jamaa man.”

Tunaamini ulikuwa ni utani tu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents