Burudani

Road to Yesterday: Teaser ya pili ya filamu mpya ya mwigizaji wa Naija Genevieve Nnaji (video)

Wiki iliyopita iliachiwa teaser ya kwanza ya filamu mpya ‘Road to Yesterday’ ambayo ameigiza staa wa Nollywood, Genevieve Nnaji kutoka Nigeria.

Nnaji

Filamu hiyo ambayo ndio ya kwanza kutoka kwa Genevieve ndani ya miaka miwili, imebeba story ya wanandoa wanaojaribu kuokoa ndoa yao ambayo iko kwenye mgogoro.

Genevieve ameigiza kama mke na mama kwa kutumia jina la Victoria, huku mwigizaji mpya Oris Erhuerho ameigiza kama mume wake na ametumia jina la Izu.

‘Road to Yesterday’ imepangwa kutoka mwezi November mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents