Burudani

Ripoti: Davido kutua Dar mwezi ujao kwenye show ya Road to MAMA

Mashabiki wa Davido watakuwa na wasaa mwingine wa kumshuhudia staa huyo mwezi ujao kwakuwa imefahamika kuwa atakuwa miongoni mwa wasanii watakaokuja Dar es Salaam kwenye show ya Road to MAMA.

davido

Road to MAMA ni show za utangulizi za tuzo za MTV Africa ambapo mwaka huu zitafanyika katika nchi tatu, Tanzania, Afrika Kusini na Nigeria.

“Exclusive Kwa wale wapenzi wa msanii @Davido wakae Tayari kwani anakuja Tanzania mwezi ujao ktk sherehe ya Road To MaMa party,” imesomeka tweet ya kituo kipya cha redio jijini Dar es Salaam, 93.7 FM.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents