R.I.P. Complex


Pin It

 

Leo ni miaka mitano tangu marehemu Complex na Vivian wafariki dunia kwa ajali ya gari wakiwa wanatoka Fiesta ya Morogoro na kuelekea Arusha kusherekea miaka 25 ya ndoa ya wazazi wake Vivian pamoja na kumtambulisha Complex rasmi kama mchumba wake.

Kipindi hicho Complex alikuwa akifanya kazi ndani ya Aegis records kama Rapper/Producer na Vivian alikuwa mtangazaji wa clouds/rapper.

R.I.P. our brother and sister.

Pin It

Add a comment

comments