Burudani

Rihanna kusaini dili la dola milioni 1 na Puma

Pamoja na Rihanna kuwa na mikataba mingi inayompa fedha nyingi, Puma wanatarajia kumuongezea mwingine mnono.

rihanna-esquire-uk-2

Rihanna anatarajia kuungana na Puma katika mkataba wa kutangaza sneaker zake mpya na nguo za michezo.

Kampuni hiyo ya Ujerumani itaingia mkataba wa dola milioni moja na mrembo huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents