Burudani

Rihanna kuigiza filamu mpya ya James Bond

Kuna tetesi kuwa Rihanna ataigiza kwenye filamu mpya ya James Bond, ‘Bond 24.’

Rihanna-Red-Lip-600-x-450

Kwa mujibu wa mtandao wa HollywoodLife, Rihanna atakuwa na uhusika mdogo kwenye filamu hiyo na maongezi kati yake na waandaaji yanaendelea.

Chanzo kimoja kimeuambia mtandao huo kuwa Rihanna ataonekana kwenye sehemu chache tu na kuna uwezekano akaimba wimbo kwenye filamu hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents