Burudani

Rihanna hutumia zaidi ya shilingi milioni 273 kwa mwezi kwaajili ya make-up!

Urembo unaomuona nao Rihanna hauji kwa pesa ya nyanya.

Lovely-Rihanna-Wallpaper-rihanna-26512897-1024-768

Mrembo huyo hutumia takriban $165,000 (zaidi ya shilingi milioni 273) kila mwezi kwaajili ya kuhakikisha anaonekana vizuri.

Kwa mujibu wa habari iliyoandikwa MTV Base, Rihanna hubadilisha make-up kila anapobadilisha nguo. Wakati mwingine hubadilisha nguo mara tano kwa siku na Mylah, ambaye ni makeup artist wake muda wote huwepo kushughulikia makeup na nguo zake.

willy-vanderperre-i-d-magazine-2010-december-2009-rihanna-10543465-2500-2278

Huduma hiyo hugharimu $3300 kwa wiki! Mrembo huyo pia hufanya ‘laser treatment’ kulainisha ngozi yake pamoja ‘cleaning with oxygen’ ambayo humgharimu $9900 kwa wiki.

Pia Riri ni shabiki mkubwa wa ‘self-tanning’ (refers to the application of chemicals to the skin to produce an effect similar in appearance to a suntan) ambayo hugharimu $760 kwa siku ambapo hutumia cream inayouzwa $330 na hutumia makopo manne kwa wiki. Mtaalamu anayemfanyia kazi hiyo anakuwepo around 24/7 kwa gharama ya $3300 kila wiki.

Mhh!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents