Burudani

Rihanna azindua perfume mpya kama zawadi ya Valentine’s Day

Nje ya muziki Rihanna amekuwa akiingiza fedha nyingi katika tasnia ya mitindo.

Ikiwa zimebaki siku chache kuweza kufika Valentine’s Day, Rihanna ameamua kuwapa zawadi warembo wote duniani kwa ajili ya siku hiyo. Muimbaji huyo ameachia manukato (perfume) yake yanayojulikana kama ‘Kiss by Rihanna’ ikiwa ni mwendelezo wa aina ya tatu ya manukato hayo.

Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo ameweka picha ya manukato hayo na kuandika, “With Valentines Day right around the corner I got something special for my ladies!! The 3rd part of the “RiRi” trilogy #KISS is finally here…. available at @macys and online at Macys.com
#KISSbyRihanna.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents