Burudani

Rihanna amuunga mkono Kanye West aliyetangaza kuwania urais wa Marekani 2020

Kanye West alitangaza uamuzi mkubwa kwenye VMAs weekend iliyopita – kuwania urais wa Marekani 2020.

rihanna-kanye

Haijalishi kama ataendelea na uamuzi huo, lakini tayari rapper huyo ameshapata support kutoka kwa mastaa wengine akiwemo Rihanna.

Kwenye interview na ET, muimbaji huyo wa “Bitch Better Have My Money”alimuunga mkono Yeezy. “I mean people are voting for [Donald] Trump,” alisema Rihanna. “Who wouldn’t vote for Kanye?!”

Kwa upande mwingine Rihanna aliisifia hotuba ya Kanye West.

Naye msanii wa Uingereza, Leona Lewis amedai kuwa ni shabiki wa Kanye ambapo pamoja na kusifia hotuba yake amefanya cover ya wimbo wake Only One.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents