Burudani

Rihanna amnunulia Chris Brown gari la Tshs Bil 1.7 (2009 Mercedes-Benz SLR Stirling Moss)

Katika kuhakikisha kuwa Breezy anafurahia birthday yake ya kutimiza miaka 24 May 4 mwaka huu, Rihanna ametumia paundi 700,000 sawa na zaidi ya shilingi bilioni 1.7 za Tanzania kumnunulia gari mpenzi wake huyo aina ya ‘2009 Mercedes-Benz SLR Stirling Moss’, limited edition ambapo ni gari 75 zilitengenezwa.

Mercedes-Benz-SLR_Stirling_Moss_2009_800x600_wallpaper_12

Chanzo kimoja kimeliambia gazeti la The Sun: “Chris yupo Las Vegas na washkaji zake hivyo atapewa zawadi zake za birthday akirudi LA wiki ijayo.

Mercedes-Benz-SLR_Stirling_Moss_2009_800x600_wallpaper_13

“Rihanna ametumia zaidi ya sola mioni moja kununua zawadi kuu – a custom-made car,” kilisema chanzo hicho na kuongeza kuwa siti za gari hiyo zimeandikwa majina ya Chris.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents