Burudani

Rihanna akanusha kuwa na uhusiano na Leonardo DiCaprio

Rihanna (27) ameamua kuvunja ukimya juu ya uvumi ulioenea toka mwanzoni mwa mwaka huu kuwa ameanzisha uhusiano na muigizaji wa Hollywood Leonardo DiCaprio (40).

rihanna-leonardo-dicaprio-dating

Rihanna amekanusha uvumi huo alipofanyiwa mahojiano na jarida la Hello!.

Alipoulizwa “How does Rihanna DiCaprio sound to you?” Alijibu: “It sounds to me like you should stay away from the blogs because they will screw you every time,”

Riri aliongeza kuwa ratiba yake inambana kiasi kwamba hawezi kuwa na uhusiano na mtu kwa sasa, na kama akiwa nae basi itabidi awe ni mwanaume ambaye atakubaliana na aina hiyo ya maisha ya ubusy.

“I’m so busy right now that I just don’t have a lot of time to offer to a man so it wouldn’t even be fair to be thinking of pulling somebody else into this life. But if I did, he would have to be man enough to live with my schedule and not get scared.”

Tetesi za Rihanna na DeCaprio zilichochewa zaidi baada ya wawili hao kuonekana wakitoka pamoja mara kwa mara.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents