Picha

Rick Ross akutana na CEO wa Reebook, huenda wakamrudisha kwenye timu

Huenda Rick Ross anaweza kurudishwa tena kwenye lineup ya Reebook baada ya mwezi uliopita kampuni hiyo kutangaza kumpiga chini kwenye mkataba wake wa kutangaza biadhaa za kampuni hiyo. Sababu za kupigwa chini ni mashairi yake yanayopromote vitendo vya ubakaji. Rick Ross aliomba msamaha.

ScreenShot2013-05-02at80550PM_zps7dd9d7c4

Rick Ross, Swizz Beatz na CEO wa kampuni hiyo ya nguo za michezo wamekujana kuzungumza japo haijulikani nini ilikuwa agenda yao. Hata hivyo upo uwezekano wa Rick Ross kurudishwa.

Swizz alipost picha hiyo kwenye Instagram na kuandika:

ScreenShot2013-05-02at80555PM_zps63690765

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents