Habari

Richest African Presidents 2014: Orodha ya Marais 9 matajiri zaidi wa Kiafrika

Mtandao wa Richestlifestyle.com umetoa orodha yake ya Marais na Wafalme 9 matajiri zaidi wa kiafrica 2014 (Richest African Presidents 2014). Anayeongoza kwenye nafasi ya kwanza ni Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos mwenye utajiri unaofikia $20 Billion.

Richest-African-Presidents-RichestLifestyle.com_

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ndiye Rais pekee wa Afrika mashariki kwenye orodha hiyo akiwa kwenye nafasi ya nne kwa utajiri unaofikia $500 Million.

Tazama orodha kamili:

9) Robert Mugabe – Net Worth: $10 Million
Country: Zimbabwe, Years in Power: 26

8) Idriss Deby – Net Worth: $50 Million
Country: Chad, Years in Power: 23

6) King Mswati III – Net Worth: $100 Million (tie with president Jonathan)
Country: Swaziland, Years in Power: 28

5) Paul Biya – Net Worth: $200 Million Country: Cameroon, Years in Power: 31

4) Uhuru Kenyatta – Net Worth: $500 Million
Country: Kenya, Years in Power: 1

3) Teodoro Obiang Nguema Mbasogo – $600 Million
Country: Equatorial Guinea, Years in Power: 34

2) Mohammed VI of Morocco – Net Worth: $2.5 Billion
Country: Morocco, Years in Power: 15

1) Jose Eduardo dos Santos – Net Worth: $20 Billion
Country: Angola, Years in Power: 34

Source: Richestlifestyle.com

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents