Michezo

Real Madrid waichapa Manchester City na kutinga fainali

Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya nusu fainali ya pili ya imechezwa usiku wa May 4 2016 kwa klabu ya Real Madrid ya Hispania, kuwaalika Man City ya Uingereza katika uwanja wa Santiago Bernabeu. Real Madrid imefanikiwa kutinga fainali kwa ushindi wa goli 1-0.

article-3573952-33D87DD700000578-853_964x390

Real Madrid walipata goli lao kipindi cha kwanza kufuatia mpira wa krosi uliopigwa na Gareth Bale kumbabatiza kiungo wa City Fernando na kuingia nyavuni.

33D7D87A00000578-0-image-a-29_1462390168409

Real sasa watakutana na Atletico katika uwanja wa San Siro tar 28 Mei, hii ikiwa ni kama marudio ya fainali za mwaka 2014 ambapo Real walishinda kwa mabao 4-1 baada ya muda wa nyongeza.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents