Habari

Rayuu amjibu Sintah, asema ‘having tattoos on my body is not a crime’

Muigizaji wa filamu na video model, Rayuu ameamua kufunguka na kumjibu Sintah aliyemshutumu kuwa anatafuta umaarufu kwa nguvu kwa kitendo chake cha kusambaza picha zinazoonesha tattoo zake alizojichora mwilini.

“Sintah dn talk on tings ambazo hujui zilipo anzia u were supposed to ask coz u dn evn knw wea da pic came from besides kwan mgongo ni uchi or tatoo ni uchi i may nat speak may b bcz i dn c da reason ya mm kupoteza pumzi yangu on smthng ambacho kimesababishwa na mtu mmoja and kwann usinge nifuata personal if u really want to correct me, “ ameandika Rayuu kwenye ukurasa wake wa Facebook.

“Pics za uchi mnaziacha hiyo tatToo imekuwa gumzo! Having tatoos on ma body s nat a crime anyway!na pia mgongo c uchi.”

Miongoni mwa kile alichoandika Sintah kupitia website yake kuhusiana na kitendo cha Rayuu kusambaza picha hizo ni pamoja na, “Rayuu or whatever u call ya self wewe ni msichana mzuri kwanini unakimbizana na umaarufu ?waacha umaarufu ukufuate sio wewe uu kimbize ndio maana watu wanawachukulia cheap kwasababu ya matendo yenu ya kukurupuka na upungufu wa mawazo. You wanna be rihhana sio? shame on you!!!!!!!!!!!!!!!!!!”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents