Picha

Rayuu akerwa na msichana anayetapeli kwa jina lake

RAYUU 2

Muigizaji wa filamu na tamthilia nchini Alice Bagenzi maarufu kama Rayuu amechukizwa na vitendo vichafu vya msichana anayetumia jina la ‘Asha Mrembo’ kwenye mtandao wa Facebook ambaye amekuwa akitapeli watu kwa jina lake.

Akiongea na Bongo5, Rayuu amesema hivi karibuni alitaka kufanyiwa fujo na watu waliotapeliwa fedha na msichana huyo.

“Wewe ingia kwake uone mambo anayoandika,” amesema Rayuu. Ile picha anasema ni yeye, anaomba watu hela, anasema anatafuta mwanaume wa kumuoa lakini mwenye pesa na wanaume wamejaa kibao wanamsikiliza sasd kuna mtu nimekutana naye juzi anasema wewe hunijui mimi nilikutumia hela!! Yaan ilikuwa issue mpaka akaelewa ndo nikapewa jina lake. Na hata baadhi ya wasanii waliisema walikuwa wanajua mimi. Sasa picha yangu hataki toa anawaambia watu wake wa fb mimi sio mwenyewe mimi ni fake. Pic ni yake!”akaingia fb na inbox akanimbia picha hatoi na hadi sasa kisha chukua pesa nyingi na nikitaka picha atoe bs nisiongee chochote kwenye page yake coz namuharibia.”

Hii ni moja ya post alizoandika msichana huyo:

Hahahahahahahahahahahahahahaha uh uh uh uh uh jaman wat hahahahaha mtanivunja mbavuuuu munao sema picha sio yangu ya mtu mwingine hahahahaha uhuhuhuh YULENI MDOG WANGU TUNAFANANA ILA TUMEKOSANA ANALETA MPAKA HASIRA FB., akiumiasana ajinyonge RAYUU.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents