Burudani

Ray C akirejesha kiuno chake kisicho na mfupa? (Picha)

Huenda jitihada za Ray C kukirejesha kiuno chake kisichokuwa na mfupa zimeanza kuzaa matunda!

11899653_874380032655303_1739093828_n

Kwa muda mrefu muimbaji huyo amekuwa akijaribu kuupunguza unene wake uliompoteza muonekano wake wa zamani uliompa sifa jukwaani na sasa picha zake mpya zinaonesha mafanikio.

11950733_1478952769075140_211413848_n

Muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Rehema Chalamila, ameshare picha zake mpya kuonesha hatua aliyofikia.

“Haka ni kanani???yaani sitaki kuamini haka katoto ni mimi uwiii !jamani nina furaha sana moyoni kumuona ray c.wa miaka ile yaani acha tu!je nipungue zaid au?sasa ndio muda wa kurudi rasmi kwenye muziki Babutale, Mkubwafela dada yenu niko tayari sasa,” ameandika.

11875464_367840173406889_1048489372_n

Unamuonaje Ray C huyu mpya?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents