Burudani

Ray C afikiria kurejea kwenye utangazaji, ila anaomba ushauri

By  | 

Ray C anafikiria kurejea tena kwenye utangazaji, kazi aliyoanza nayo kabla ya kuwa muimbaji na kufanya kazi na East Africa Radio na Clouds FM.

7a808f6c76da11e3aef612ce171e3ceb_8

“Utangazaji nilianza 1999……..Loooooooooong Tym for five years …Am proud nilipitia mengi mpk Leo hii nikikaa nikafikiriA kazi nilizopitia huwa najiskia raha sana!!but right now Music is in my blood thou ninaeza Amua kufanya Music n have my own show on Tv n Radio!!!!!wat do u think guys nifanye yote kwa pamoja au,” amehoji muimbaji huyo kupitia Instagram.

Ungependa kumshauri nini?

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments