Burudani

Ray C adai 2014 ni mwaka wake, uko tayari?

Rehema Chalamila aka Ray C anaamini kuwa mwaka 2014, ni wa kwake. Muimbaji huyo ambaye anasuburiwa kwa hamu kubwa na mashabiki wake, leo ameamua kuwahakikisha mashabiki wake kupitia Instagram kuwa huu ni mwaka ambao sauti yake inaweza kutawala tena.

de24dee689b411e391a512f77a8b01e9_8

“This is my year!!!!!!!!!!!Amen,” ameandika. Hivi karibuni, Ray C alisema nyimbo zake ziko tayari bado kuziachia tu.

“Naimiss steji vibaya mno!!!!Likizo ya mwaka mzima alhamdullilah!!!!Mungu ni mwema sana!!!!!!!Asante kwa afya baba yangu!!!!!muda si mrefu ntarudi Kazini na uhakika mashabiki wangu wapenzi mmenimiss sana!Kila kitu tayari kimeshapikwa bado tu kuwaambia lini tu but niombeeni heri wapenzi wangu najua sana mmeimiss sauti ya Ray C All over the world!!!!jinsi ninavyowapenda na jinsi mlivyoniombea zawadi Kama kumi hivi nimewaandalia!!!mtashauaje sasa!!kama nawaona vile!!!!!!Bila nyie hakuna Ray C!!!!!!!Thank you so very much guys!!!!!!My fans!My everything!!Nawapenda mno!!!!”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents