Burudani

Rapper M.I wa Nigeria awashirikisha wasanii 27 kwenye album mpya

Rapper wa Nigeria M.I anatarajia kuachia album mpya ambayo amewashirikisha jumla ya wasanii 27 kutoka Nigeria, Jamaica na Ghana.

M-1

M.I ameshare cover ya album hiyo iitwayo ‘Chairman’ kwenye akaunti yake ya Instagram.

Wasanii 27 aliowashirikisha ni:

Ice Prince, Sarkodie, Sound Sultan, Tuface, Wizkid, Beenie Man, Olamide, Phyno, Reminisce, Patoranking, Seyi Shay, Runtown, Frank Edwards, Storm Rex, Oritse Femi, Morell, Chigurl, Nosa, Loose Kanyon, Debbi, Nanya, DJ Lambo, Emmy Ace, Milli, I.J, Koker na Moti Cakes.

M-2

Hii itakuwa ni album ya tatu ya M.I.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents