Burudani

Rapper Baghdad kutoa mkwanja kila siku kwa mashabiki wake, fahamu mchakato ulivyo

Rapper Baghdad amewaandalia zawadi ya shilingi 5,000 kila siku mashabiki wake watakaosupport ngoma yake mpya, Haters.

10482933_753130191393145_1767170172767255521_n

Akiongea na Bongo5, Baghdad ambaye pia ni mtangazaji wa EFM amesema:

Shindano la kutoa buku 5 kila siku kwenye Instagram, Facebook, naWhatsaap limeanza rasmi leo. Masharti ni kufanya wimbo wa Haiters -baghdad ft Drea , kuwa muito wa wakupigiao, na kisha kuandika namba yako ya simu kwenye account yangu yoyote, fb, instagram au whatsaap.. nitakupigia na nitakuuliza swali ukipata mkwanja wako. Kwa watumiaji wa Airtel ingia kwenye upande wako wa sms andika CT 4180356 kisha tuna ujumbe kwenda 15578. Na kwa watumiaji wa Vodacom ingia kwenye uwanja Wa kuandika ujumbe mfupi andikq BF3509 kisha tuma kwenda 15577.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents