Burudani

Rally Benz – Nimpende Nani?

Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Tanzania ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani, Rally Benz ameachia wimbo wake mpya uitwao Nimpende Nani?. Muimbaji huyo mwenye kipaji cha hali ya juu amekuwa akifanya nyimbo zake nchini humo na kuziachia kupitia mitandao ya kijamii. Sikiliza baadhi ya kazi zake.

https://youtu.be/iQUDJSeYXG4

https://youtu.be/zHhnaQwMcx0

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents