Michezo

Rais wa Urusi, Vladimir Putin apata mkanda mweusi wa nane katika karate!

Rais wa Urusi, Vladimir Putin amepata mkanda mweusi wa nane katika karate.

1121-vladimir-putin-martial-arts-getty-composite-3

Putin mwenye miaka 62, ni mwanafunzi wa Kyokushin, aina ya karate ambayo wachezaji hawavai vifaa maalum kichwani.

Putin pia ni mahiri kwenye martial arts ambapo alipewa mkanda mweusi wa tisa kwenye taekwondo mwaka 2013. Pia ni mchezaji mzuri wa judo.

By TMZ

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents