Habari

Rais wa Nigeria, Buhari kuchukua likizo ya siku 10 kwaajili ya matibabu

Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari amepanga kuchukua likizo ya siku 10 kuanzia Jumatatu kwaajili ya matibabu.

Barua yake kwa bunge iliyotolewa Alhamis hii imesema: I will be away on a short medical vacation from Monday January 23 to February 6th, 2017.”

“While I am away, the vice president will perform the functions of my office,” iliongeza.

Likizo hiyo ilithibitishwa na msemaji wake, Femi Adesina. Hakuna taarifa iliyotolewa kuhusiana na tatizo linalomsumbua. June mwaka jana, Buhari alienda London kwa likizo ya siku 10 ambako alikuwa akitibiwa sikio lake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents