Habari

Rais Museveni wa Uganda amtimua waziri mkuu wake

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemfukuza kazi waziri mkuu wa nchi hiyo, Amama Mbabazi.

_77691255_mbabazi
Amama Mbabazi

Mbambazi aliyekuwa mtu wa karibu wa Museveni anaonekana kuwa mpinzani wake mkubwa kwenye uchaguzi wa rais mwaka 2016. Museveni amekuwa rais wa Uganda tangu mwaka 1986 na anatarajiwa kuwania tena awamu nyingine.

Mwaka 2012, mamilioni ya dola za umma yalipotea kutoka kwenye ofisi ya waziri mkuu lakini Mbabazi amekanusha kuhusika. Skendo hiyo ilisababisha baadhi ya nchi wahisani kusitisha misaada ya Uganda.

Waziri wa afya, Ruhakana Rugunda ameteuliwa kuwa waziri mkuu mpya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents