Habari

Rais Magufuli awajia juu waandishi wanaomchafua Kikwete na mkewe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amewajia juu wa waandishi wa vyombo vya habari na mitandao ya kijamii wanaoandika habari zisizo na ukweli kwa ajili ya kumchafua Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete.

magufuli_

Kutokana na taarifa ya Ikulu iliyotolewa Jumapili hii inasema kuwa Rais Magufuli anasikitishwa na uzushi unaofanywa dhidi ya Rais mstaafu Kikwete na mkewe Mama salma na kutaka jambo hilo lisitishwe mara moja.

Soma taarifa hiyo ya Ikulu hapa chini.

15258809_1831547133789244_4370855970801188864_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents