Habari

Rais Magufuli awaapisha mabalozi wapya sita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, Ijumaa hii amewaapisha mabalozi sita Ikulu jijini Dar es salaam aliowateua kwaajili ya kuwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali.

Hii taarifa yake:

Rais Magufuli amemuapisha Emmanuel Nchimbi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Dkt James Msekela kuwa Balozi wa Tanzania Geneva_umoja wa Mataifa, Mhe Mbelwa Kairuki kuwa Balozi wa Tanzania nchini China, Mhe George Madafa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Elizabeth Kiondo kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Fatma Rajab kuwa Balozi wa nchini Qatar.

BY: Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents