Habari

Rais Magufuli amteua Ibrahimu Juma kuwa kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, amemteua Jaji Ibrahimu Juma kuwa kaimu Jaji mkuu wa Tanzania. Profesa Ibrahimu anachukua nafasi ya Jaji Othuman Chande ambaye amestaafu.

Hii taarifa yake:

BY: Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents