Habari

Rais Magufuli akutana na Mkapa na waziri wa maendeleo wa Denmark

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli amekutana na Rais mstaafu, Benjamin Mkapa na kufanya mazungumzo wa waziri wa maendeleo wa Denmark, Alhamisi hii jijini Dar es salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akiwa na Rais mstaafu, Benjamin Mkapa


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akiwa na waziri wa maendelea wa Denmark,Martin Bille Herman.

Hii taarifa yake:

BY: Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents